ALSENAL leo hii wameangukia pua baada ya kuchabangwa bao 3-2 na stoke City katika mchezo ambao Alsenal walizidiwa sana kipindi cha kwanza.
kikosi cha STOKE (4-2-3-1):
Begovic 6.5; Bardsley 7.5, Shawcross 8, Muniesa 7.5 (Whelan 63 - 6),
Pieters 6.5; Nzonzi 8, Cameron 7; Diouf 7 (Adam 69 - 5), Bojan 8.5 (Huth
86), Walters 8; Crouch 8
wafungaji: Couch 1mins, Bojan 35, Walters 45
kikosi cha ARSENAL (4-2-3-1):
Martinez 4.5; Bellerin 5 (Welbeck 46 - 6.5), Chambers 3.5, Mertesacker
3, Gibbs 5 (Campbell 90); Flamini 5, Ramsey 4.5, Oxlade-Chamberlain 7,
Sanchez 7, Cazorla 5; Giroud 4 (Podolski 63 - 6)
Subs not used: Szczesny, Koscielny, Ajayi, Maitland-Niles
Chapisha Maoni