CHELSEA leo imekumbana na kichapo kikali toka kwa Newcastle mara baada ya kutandikwa bao 2-1 katika mchezo ambao ulikuwa mkali dakika zote 90.
nyota wa mchezo huo ni Papiss Cisse ambaye amefunga bao zote mbili ambapo bao la kwanza ilipasia dakika ya 57 kabla ya kurudi kimiani tena dakika ya 78,kwa upande wa chelsea bao lao limefungwa na Drogba dakika ya 83

Chapisha Maoni