BFT WAKABIDHIWA ULINGO RASMI WA MASUMBWI
Baadhi ya wadau wa mchezo wa masumbwi wakifatilia afla ya makabidhiano hayo
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zantel Patap Ghose wakati wa makabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi uliotolewa na kampuni ya Zantel Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Zulfa Macho kushoto akipambana na Vumilia Kalinga wakati wa maskabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Zulfa Macho kulia akipambana na Vumilia Kalinga wakati wa maskabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWSBaadhi ya wadau wa mchezo wa masumbwi wakifatilia afla ya makabidhiano hayo
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo DR. Fenela Mkangara akivishwa glove na Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zantel Patap Ghose wakati wa makabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi uliotolewa na kampuni ya Zantel Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Zantel Patap Ghose kushoto akipeana mkono na Waziri wa Habari,Vijana
Utamaduni na Michezo DR. Fenela Mkangara baada ya kukabidhi ulingo mpya
wa masumbwi kulia ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha
Voniatis na wa pili kushoto ni Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa nchini 'BFT'
Lukelo Willilo na Katibu mkuu wa chama hicho Makore Mashaga
Bondia Fransic Cheka kushoto akipeana
mkono na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo DR. Fenela
Mkangara wakati wa hafla ya makabidhiano ya ulingo mpya kutoka Zantel
Bondia Fransic Cheka akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zantel Patap Ghose
BAADHI YA WADAU MBALIMBALI WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI WAKIWEMO MABONDIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA
Chapisha Maoni