Mchezaji wa kimataifa
toka Brundi ambaye alikuwa akikipiga katika klabu ya simba Hamisi Tambwe amesaini Yanga kwa mkataba wa mwaka mmoja Endelea
kusoma Jelamba viwanjani kwa Taarifa zaidi.
Ikumbuke tu kuwa leo dirisha la usajili linafungwa saa 6 usiku.
Chapisha Maoni