Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Machester united imezidi kuwadhihirishia mashabiki wake kuwa hawabaatishi  baada ya usiku wa kuamkia leo kuwakandamiza stoke city bao 2-1  katika mchezo ambao ulikuwa mgumu kwa dakika zote.


mabao ya united yaliwekwa kimiani na Marouane Fellaini dakika ya 21,mata dakika 59 huku lile la kufutia machozi la stoke lilipachikwa na Steven Nzonzi mnamo dakika ya 39

VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Valencia, Smalling, Rojo, Young, Carrick, Fellaini, Mata, Ander Herrera, van Persie, Wilson
Akiba: Falcao, Januzaj, Lindegaard, Fletcher, McNair, Blackett, Keane.
Stoke City: Begovic, Bardsley, Shawcross, Wilson, Pieters, Cameron, Nzonzi, Bojan, Ireland, Assaidi, Diouf
Akiba: Muniesa, Palacios, Arnautovic, Adam, Butland, Crouch, Shenton.


Chapisha Maoni