SIKU chache baada ya Yanga kumtimua Maximo[toka Brazil] katika timu yao baada ya kufungwa na Simba katika mechi ya bonaza ya nani mtani Jembe,amini usiamini Simba nao wamemtimua Phiri kigezo cha wazi kikiwa ni kufungwa na Kagera Sugar.
Phiri baada ya kupewa taarifa hiyo alisema maneno yafuatayo kwa huzuni
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza ni kiasi gani, halafu ataanza safari ya kurejea kwao Zambia.
"Nikimalizana nao kuhusiana na malipo yangu, nitajua lini ninakwenda nyumbani," alisema Phiri.
Personal information | |||
---|---|---|---|
Date of birth | 3 May 1956 | ||
Place of birth | Luanshya, Northern Rhodesia | ||
Playing position | Forward (retired) | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps† | (Gls)† |
1973–1974 | Buseko FC | ||
1974–1975 | Rokana United | (21) | |
1975–1986 | Red Arrows | ||
Teams managed | |||
1986–1991 | Red Arrows | ||
1992–1994 | Ndeke Rangers | ||
1995–1997 | Lusaka Dynamos | ||
1997 | Mochudi Centre Chiefs | ||
1997–2002 | Nkana F.C. | ||
2002–2003 | Zambia | ||
2003–2005 | Simba | ||
2006–2008 | Zambia | ||
2008–2011 | Simba | ||
2012-2014 | NAPSA Stars |
Chapisha Maoni