CHRISTIANO RONALDO ameendelea kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuifungia Real madrid bao 3-0 dhidi ya Celta vigo katika mchezo wa ligi kuu ya Hispania.
KIKOSI Real Madrid: Casillas;
Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo; Rodriguez (Arbeloa 53mins),
Illarramendi, Kroos; Bale, Benzema (Coentrao 81'), Ronaldo (Hernandez
85')
MAGOLI: Ronaldo (pen) 36' 65' 81'
KIKOSI Celta Vigo: Sergio;
Mallo, Cabral (Gomez 74'), Fontas, Jonny; Radoja, Hernandez,
Krohn-Dehli (Mina 82'); Orellana (Fernandez 69'), Nolito, Larrivey
Chapisha Maoni