Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.






KIKOSI KIKO HIVI
Golikipa ni Ally Mustapha ‘Bartezi, beki wa kulia ni Mbuyu Twite, kushoto Oscar Joshua.
Mabeki wa kati ni Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Kelvin Patrick Yondan ‘Cotton’.
Kiungo namba sita ni Said Juma, winga wa kulia ni Mrisho Ngasa. Tofauti na mawazo ya wengi, Saimon Msuva ameanza namba 8.
Mshambuliaji wa kati ni Amissi Tambwe, nyuma yake anacheza Danny Mrwanda na winga wa kushoto ni Haruna Niyonzima.
WACHEZAJI WA AKIBA: Deo Munishi ‘Dida’, Rajab Zahir, Jerryson Tegete, Salum Telela, Pato Ngonyani, Hussein Javu na Kpah Sherman.


Chapisha Maoni