Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 

ALIYEKUWA msanii maili hapa Tanzania Mezz B amefariki dunia kwao mjini Dodoma na taarifa kutoka katika familia yake zimeeleza alikuwa mgonjwa.

Taarifa kutoka kwa rafiki yake wa karibu amesema Mezz B alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu lakini hakueleza alikuwa akiugua nini.

Lakini baadaye mama yake mzazi amethibitisha kwamba alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa homa ya mapafu.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Jelamba viwanani.



Chapisha Maoni