Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.






SIMBA leo imeitandika Polisi Moro bao 2-0 katika mechi ya ligi kuu soka Tanzania bara iliyomalizika jioni hii.

Bao la kwanza la kikosi hicho cha Mserbia,  Goran Kopunovic limefungwa na Ibrahim Hajib ‘Mido’ katika dakika nya 14’ kabla ya dakika ya 63’ ya kipindi hicho, Elius Maguli aliwanyanyua tena mashabiki wa Simba kwa kuandika bao la pili na la ushindi.

Azam wanaongoza katika msimamo wakijikusanyia pointi 25 baada ya kushuka dimbani mara 13 sawa na Yanga wenye pointi 25 kwa mechi 13 walizocheza, lakini wana Lambalamba wana wastani mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa.


Chapisha Maoni