Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.






Ligi kuu ya Vodacom Tanzania inatarajiwa kuendelea leo jumatano katika viwanja viwili jijini ambapo Dar es salaam, vinara wa ligi hiyo Young Africans wataikaribisha Coastal Union kwenye dimba la Uwanja wa Taifa.
Uwanja wa Chamazi Complex, wenyeji timu ya Azam FC wanaokamata nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu, watawakaribsiha wagonga nyundo kutoka jijini Mbeya timu ya Mbeya City FC.


Chapisha Maoni