Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




 Simba hii leo imelipiza kisasi kwa Kagera Sugar baada ya kuibuka na ushindi ya bao 2-1

 dakika 49 Ramadhani Singano Messi aliiandikia Simba SC goli la kwa  akitumia vyema makosa ya mabeki wa Kagera Sugar kushindwa kuondosha hatari langoni mwao.
Mfungaji bora wa Kagera sugar Rashid Mandawa alivuruga sherehe ya simba sc baada ya kuiandikia goli la kufutia machozi Kagera sugar katyika dakika ya 61 ya mchezo.
Kuingia kwa goli ilo kulipelekea kushambuliana kwa zamu na mchezo uonekana kuwa sawa kabla ya beki Salum Kanoni kuushika mpira katika eneo la hatari na refa wa mchezo kuamuru kupigwa kwa penati.
Penati hiyo ilipigwa kwa ufundi na Ibrahim Ajibu katika dakika ya 68 na kuipa uongozi kwa mara nyingine Simba SC.


Chapisha Maoni