OLYMPIASTADION, BERLIN, GERMANY
FAINALI: JUMAMOSI MEI 6, OLYMPIASTADION, BERLIN, GERMANY, SAA 3:45 USIKU, SAA ZA BONGO
Hii
ni Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI ambayo ama FC Barcelona ya Spain au
Juventus ya Italy itatwaa Ubingwa wa Ulaya na pia Bingwa huyo atakuwa
ametwaa Trebo Msimu huu baada ya Timu zote mbili kutwaa Makombe mawili
Nchini mwao yale ya Ubingwa na Kombe la Nchi.
Habari kubwa ya Fainali hii ni kukosekana kwa ule mvuto mkubwa wa
kuwakutanisha tena kwa mara ya kwanza Beki wa Juventus Giorgio Chiellini
na Fowadi wa Barcelona Luis Suarez baada ya Chiellini kuumia Jumatano.
Wachezaji hao walivaana huko Brazil Mwaka Jana wakizichezea Nchi
zao kwenye Fainali za Kombe la Dunia na Suarez kuadhibiwa kwa Kifungo
kirefu kwa kumng'ata Meno Chiellini.
PATA HALI ZA VIKOSI VYOTE:
Full name | Juventus Football Club S.p.A. |
---|---|
Nickname(s) | [La] Vecchia Signora[1] (The Old Lady) [La] Fidanzata d'Italia (The Girlfriend of Italy) [I] bianconeri (The White-Blacks) [Le] Zebre (The Zebras) [La] Signora Omicidi (The Killer Lady)[2] [La] Goeba (Gallo-Italic for: Hunchback) |
Founded | 1 November 1897[3] | (as Sport Club Juventus)
Ground | Juventus Stadium, Turin, Italy |
Capacity | 41,254[4] |
Owner | Agnelli family (through EXOR S.p.A, BIT: JUVE) |
Chairman | Andrea Agnelli |
Manager | Massimiliano Allegri |
League | Serie A |
2014–15 | Serie A, 1st |
Website | Club home page |
JUVENTUS
Timu inayotarajiwa kuanza:
Buffon; Lichtsteiner, Bonucci, Barzagli, Evra; Marchisio, Pirlo, Pogba; Vidal; Tévez, Morata.
Majeruhi: Barzagli, Chiellini, Cáceres
FC Barcelona
Full name | Futbol Club Barcelona |
---|---|
Nickname(s) | Barça or Blaugrana (team) Culés or Barcelonistas (supporters) Blaugranes or Azulgranas (supporters) |
Short name | FCB |
Founded | 29 November 1899 as Foot-Ball Club Barcelona |
Ground | Camp Nou |
Capacity | 99,354 |
President | Josep Maria Bartomeu |
Head Coach | Luis Enrique |
League | La Liga |
2014–15 | La Liga, 1st |
Website | Club home page |
Timu inayotarajiwa kuanza:
Ter Stegen; Alves, Piqué, Mascherano, Alba; Rakitić, Busquets, Iniesta; Messi, Suárez, Neymar.
Majeruhi: Hamna
REFA: CUNEYT CAKIR [TURKEY]
Chapisha Maoni