Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





Azam FC na Gor Mahia ya Kenya kwenye wanatarajia kukutana katika mchezo wa fainali ya Kagame Cup baada ya kuifunga KCCA leo.


Azam FC imekuwa ya pili kuingia fainali kwa kuitwanga KCCA kwa bao 1-0 huku Gor Mahia ikiwa imetangulia baada ya ushindi dhidi ya timu ngumu ya Al Khartoum.

Beki wa Azam Fc Pascal wawa amekili kuwa michuano hiyo siyo mchezo ambapo kama sio kujituma na raisi kufia uwanjani.
“Unapumzika siku moja tu baada ya kucheza mechi ngumu kama ile dhidi ya Yanga, unarudi tena uwanjani kucheza.
“Baada ya mechi ngumu kama ya leo dhidi ya KCCA, tunakwenda kwenye fainali baada ya kupumzika mechi moja tu.
Wawa ameingoza safu ya ulinzi ya Azam FC kutofungwa hata bao moja hadi sasa.
Mechi ya fainali itachezwa Jumapili, ikitanguliwa na ile ya mshindi wa tatu kati ya KCCA dhidi ya Al Khartoum.


Chapisha Maoni