Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


TAARIFA TOKA KWA JERRY MURO MKUU WA IDARA YA HABARI YANGA.
 

“Ndugu zangu Wana family Ya Michezo Tanzania,Kwa masikitiko nawajulisha kuwa baba Yangu mpendwa mzee cornel muro amefariki dunia akiwa katika hospital Ya muhimbili akiwa anapatiwa matibabu ICU,mipango Ya mazishi inafanyika nyumbani Kwa mzee muro ubungo Maziwa,Bwana ametoa na bwana ametwa Jina lake lihimidiwe.”
Mungu ailaze roho ya baba yetu Cornel mahala pema peponi.
Amina.
 


muro



Chapisha Maoni