Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




LICHA ya kukosa mabao mengi  Amissi Tambwe  ameipeleka yanga mdomoni mwa Azam Fc robo fainali kwakufunga bao lake katika kipindi cha kwanza.

Yanga inakutana na Azam FC katika mechi ya robo fainali itakayopigwa Jumatano kwenye dimba hilohilo la Taifa.

Timu zote zimeshinda mechi tatu za hatua za makundi, lakini Yanga ilicheza mechi zaidi ambazo ni nne na kupoteza moja.
Kwa maana nyingine, Tanzania ina uhakika wa kuingiza timu katika nusu fainali ingawa moja itakayobaki itakuwa na kazi ngumu kuingia fainali na ikiwezekana kulibakiza kombe hilo linaloshikiliwa na APR.



Chapisha Maoni