Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





LIVERPOOL YAANZA MSIMU VIZURI
MATOKEO YA PREMIER LEAGUE: Liverpool imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Stoke City, mfungaji ni Philippe Coutinho aliyefunga katika dakika ya 86.


WALINZI NA VIUNGO WATANO WA WEST HAM WAKIMDHIBITI SANTI CAZORLA WA ARSENAL. HII INAONYESHA KIASI GANI JAMAA WALIKUWA SIRIAZ NA GAME LEO. NDIYO MAANA WAMEIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2-0. MHISPANIA HUYO, NDIYO ALIKUWA ANAICHRZEA ARSENAL MECHI YA 150 LAKINI AMEKUWA NA BAHATI MBAYA.





















Chapisha Maoni