UNITED imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Aston villa na kunyakua pointi 3 ligi kuu ya uingereza.
Bao la united limefungwa na Adnan Januzaj dk 29 baada ya kupokea pasi safi toka kwa Mata.
Bao la united limefungwa na Adnan Januzaj dk 29 baada ya kupokea pasi safi toka kwa Mata.
Manchester United starting XI
Romero, Darmian, Smalling, Blind, Shaw, Carrick, Schneiderlin, Mata, Memphis, Januzaj, Rooney.
Aston Villa starting XI
Guzan, Bacuna, Richards, Clark, Amavi, Veretout, Gueye, Wetswood, Ayew, Agbonlahor, Sinclair.
Chapisha Maoni