Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



  Yanga imemtema beki Joseph Zuttah ‘Teteh’ raia wa Ghana.
na sasa nafasi yake inachukuliwa na beki raia wa Togo Vicent Bossou.
Wakati Bossou anachukua nafasi ya Teteh, kiungo Mzimbabwe, Thaban Kamusoko yeye anajiunga na Yanga na kuchukua nafasi ya Kph Sherman.
Sherman tayari amejiunga na kikosi cha Mpumalanga Black Aces cha nchini Afrika Kusini.
 
 
 Vincent Bossou
Vincent Bossou
Personal information
Full name Vincent Bossou
Date of birth February 7, 1986 (age 29)
Place of birth Kara, Togo
Height 1.86 m (6 ft 1 in)
Playing position Centre Back
Club information
Current team
Goyang Hi FC
Number 28
Youth career
1997-2006 Maranatha F.C.
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2006-2009 Maranatha F.C. 77 (5)
2010 ES Sahel 3 (0)
2010-2011 Maranatha F.C. 23 (3)
2011-2012 Navibank Sài Gòn 35 (1)
2013 Becamex Bình Dương 1 (0)
2013 TDC Bình Dương 17 (0)
2014 An Giang 21 (0)
2015 Goyang Hi FC 0 (0)
National team
2010- Togo 25 (0)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).


Chapisha Maoni