TIMU ya yanga imefanikiwa kuchukua ngao ya jamii dhidi ya Azam Fc kwa mikwaju ya penalti baada ya kutoshana nguvu ndani ya Dakika 90.
waliopiga penalti.
YONDANI-YANGA (ANAPATA)
AME-AZAM (ANAKOSA)
TWITE-YANGA (ANAPATA)
KAPOMBE-AZAM (ANAPATA)
KAMUSOKO-YANGA (ANAPATA)
NYONI-AZAM (ANAPATA)
MWASHIUYA-YANGA (ANAPATA)
MIGI-AZAM (ANAPATA)
COUTINHO-YANGA (ANAPATA)
MORRIS-AZAM (ANAPATA)
TAMBWE-YANGA (ANAPATA)
WAWA-AZAM (ANAKOSA)
KASEKE-YANGA (KAPATA)
HIMID-AZAM (ANAPATA)
NIYONZIMA (ANAPATA)
BOCCO-AZAM (ANAPATA)
CANNAVARO-YANGA (KAKOSA)
KIPRE-AZAM (KAPATA)
Chapisha Maoni