Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Kocha Charles Boniface
Mkwasa ametangaza kikosi
ambacho kitaingia kambini
Alhamisi tayari kuanza
kujiwinda kwa ajili ya
Malawi.
Stars itashuka dimbani
Oktoba 9 kuivaa Malawi
kwenye Uwanja wa Taifa, Dar
es Salaam katika mechi yake
ya kwanza kuwania kucheza
Kombe la Dunia.
Kikosi kimetangazwa leo na
Kocha Msaidizi, Hemed
Morocco.
Makipa:
Ally Mustapha, Aishi Manula
na Said Mohammed.
Mabeki:
Nadir Haroub, Kelvin
Yondani, Mohammed Hussein,
Hassan Isihaka, Juma Abdul,
Shomary Kapombe na Mwinyi
Haji.
Viungo:
Himid Mao, Said Ndemla,
Salum Telela, Frank Domayo,
Mudathir Yahya, Simon Msuva
na Deus Kaseke
Washambuliaji:
Rashid Mandawa, John Bocco,
Mrisho Ngassa, Mbwana
Samatta, Thomas Ulimwengu
na Farid Mussa.



Chapisha Maoni