Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Timu ya soka ya
Tanzania Bara
‘Kilimanjaro Stars’
imedhibitisha
kushiriki michuano ya
Chalenji
itakayofanyika nchini
Ethiopia kuanzia
Novemba 21 hadi
Desemba, 2015.
Michuano ya Cecafa
Chalenji ndio michuano
mikongwe zaidi barani
Afrika ambapo jumla ya
nchi 12 wanachama
hushirki michuano hiyo
iliyofanyika mara ya
mwisho mwaka juzi
nchini Kenya na
wenyeji kutwaa Ubingwa
huo.
Nchi wanachama wa
Cecafa ni Tanzania
Bara, Kenya, Uganda,
Burundi, Rwanda,
Ethiopia, Eritrea,
Djibouti, Somali,
Sudan, Sudan Kusini na
Zanzibar.



Chapisha Maoni