Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Taarifa iliyoufikia mtandao huu hivi punde ni kwamba, kocha wa Toto Africans Martin Grelics amejiuzulu. Hii hapa ni barua rasmi ya kujiuzulu kwake. 

Sababu za kujiuzulu kwake ni  mwenendo mbaya wa timu ambao umechagizwa na tatizo la mishahara kwa wachezaji pia wachezaji kukosa maitaji ya msingi,yeye kama kocha wa kimataifa hawezi kufanya kazi katika mazingira magumu kiasi hicho.
dsfdsf 
11


Chapisha Maoni