Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Mashabiki wengi wa
ngumi wamekuwa
hawaamini kama bondia
Floyd Mayweather
amestaafu kweli baada
ya kucheza mechi 49.
Wengi wanaamini
atacheza pambano la 50
dhidi ya Mwingereza
Amir Khan. Lakini
meneja wake amekata
mzidi wa fitna na
kusema Mayweather
amestaafu na hakuna
mjadala tena katika
hilo.
Lakini wakati
Leonarard Ellerbe
akitangaza hivyo,
Mamyweather ameonyesha
jeuri ya fedha baada
ya kunua gari la bei
kubwa zaidi yam engine
yote duniani baada ya
kytoa dola milioni 3.5
kunua gari aina ya
Buggati.



Chapisha Maoni