Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Kiungo wa Yanga, Haruna
Niyonzima hatacheza mechi
ya Jumamosi dhidi ya Azam
FC kwa kuwa amekuwa katika
harakati za ufungaji ndoa.
Niyonzima ambaye ni nahodha
wa timu ya taifa ya Rwanda
'Amavubi' amefunga ndoa ya
serikali mjini Kigali,
Rwanda leo. Amefunga ndoa
na mpenzi wake wa muda
mrefu ambaye pia ni mzazi
mwenzake ambaye sasa wana
watoto watatu.
Katika hali ya kawaida,
Niyonzima kwa kuwa
hajafanya mazoezi na
wenzake kwa kipindi sasa,
hivyo hatakuwa na nafasi ya
kucheza.



Chapisha Maoni