Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.








Rais wa TFF, Jamal Malinzi amemtambulisha rasmi kocha mpya wa timu ya taifa toka Uholanzi Mart Nooij   kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam,ambaye imaaminika kuwa ana uwezo mkuwa na kazi hiyo.



kocha huyo kabla ya kujiunga na Taifa Stars alikuwa na klabu ya St. Georges ya Ethiopia, lakini vilevile amewahi kufundisha mpira wa miguu barani Afrika katika nchi za Burkina Faso, Mali na Msumbiji hivyo anauzoefu mkubwa na timu za afrika.
DSC_0628 Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa stars imechapwa mabao
kwa upande mwingine mwingine kocha huyo ameshuudia stars ikikung'utwa bao tatu kwa bila jijini dar katika mechi ya kirafiki ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 ya muungano,ambapo
Mabao ya Burundi yamefungwa na Didier Kavumbagu, Amis Twambwe wanaocheza soka la kulipwa nchini hapa nchini na bao la tatu likifungwa na yufuf ndikumana.
 


Chapisha Maoni