Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Azam FC ambao ni mabingwa wapya wa Tanzania Bara leo saa 8 mchana baada ya Swala ya Ijumaa watatembelea kituo cha Watoto yatima cha Chamazi Magengeni, kama sehemu ya sherehe za ubingwa ambazo zitahitimishwa kesho pale Azam Complex-Chamazi. Azam FC itakuwa na wachezaji wake wote walioipa ubingwa pamoja na benchi la ufundi chini ya Mwalimu Omog. Wakiwa pale watatoa zawadi kwa watoto na kula nao chakula cha mchana.

BY AZAM FACEBOOK.


Chapisha Maoni