Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


TOTTENHAM Hotspur imerudi nafasi ya 6 baada ya kuizabua Sunderland bao 5-1 usiku wa jana Uwanja wa White Hart Lane, London.
Emmanuel Adebayor alifunga mawili,Kane, Eriksen na Sigurdsson walifunga bao moja moja.
 
 bao la kufutia machozi la Sunderland lilifungwa na Cattermole.
Ushindi huo unaifanya Spurs itimize pointi 59 baada ya kucheza mechi 33 na kurejea nafaasi ya sita, ikiishusha Manchester United kwa nafasi moja hadi ya saba.

Tim Sherwood


Chapisha Maoni