Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





SHABIKI CHELSEA AHAIDI KUTOA SIMU TIMU IKIFUNGWA,AWA 
MBOGO BAADA YA TIMU YAKE  KUFUNGWA.

Na Alex Mapunda,Jelamba viwanjani 
pamoja na gazeti la championi michezo na burudani Tanzania.

KUFUATIA timu ya Chelsea kufungashiwa vilago katika michuano ya klabu
bingwa ulaya hapo  dhidi ya Atletic de Madird kwa kichapo cha bao
3-1,shabiki wa chelsea amekataa kutoa simu   mara baada ya kuhaidi
kuwa angetoa simu kwa shabiki wa man united kama chelsea ingepoteza
mchezo huo.

Shabiki hiyo anaefahamika kwa jina la Musa sufiani  MKAZI WA SEMTEMA mkoani Iringa, baada ya kufuatwa mbele ya mashaidi ili kuchukua simu hiyo aligeuka mbogo na  a kuelekea sehemu
ambayo haikufahamika huku akiwa na majonzi makubwa mara baada ya timu
yake kutolewa,.

Akizungumza na championi ijumaa shabiki wa manchester united  Das kamara alisema atahakikisha anapata simu yake kwa kuwa siku ya ahadi walikuwepo mashaidi wengi pia sauti yake ilirekodiwa kwa ajili ya ushaidi.
“siwezi kumwacha nitahakikisha ananipa simu ili liwefundisho kwa mashabiki wengine ambao wanaweka ahadi kishabiki siwezi kumwacha nitamshitaki.


Chapisha Maoni