Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 KIUNGO  Nyota Toka Athleyic Bilbao Ander Herrera  mwenye umri wa miaka 24 sasa anakuwa mchezaji wa kwanza kabisa kusajiliwa na Man United chini ya kocha mpya, van Gaal aliyerithi mikoba ya David Moyes Old Trafford kwa ada ya pauni milioni 29.
Herrera akiwa ameshika jezi ya Man United pamoja na Sir Bobby Charlton baada ya kukamilisha uhamisho wake
 
hii ni neema kwa mashetan hao kwa kuwa wanatatizo la kiungo kwa muda mrefu Sasa.


Chapisha Maoni