Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


BAADA YA The Blues KUBWAGA  fedha kuwasajili Cesc Fabregas, Diego Costa na Filipe Luis,sasa chelsea wanafikilia kuwapandisha vijana wadogo toka timu B ambapo kwa muda mrefu sasa timu hyo haijafanya hivyo to alipopandishwa john Terry.
Lakini kocha Mourinho amesema kwamba wachezaji hao wapya wanatosha kuongeza nguvu katika kikosi kilichofika Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na kunyakua ubingwa.
 

CHIPUKIZI WATANO WA KUMULIKWA CHELSEA

1. Jeremie Boga
2. Izzy Brown
3. Patrick Bamford
4. Marco Van Ginkel
5. Kurt Zouma
 
Watchful eye: The performances of some of Chelsea's youngsters will have given Mourinho food for thought


PATRICK BAMFORD

Potential: Patrick Bamford celebrates putting Chelsea ahead in their pre-season opener


KURT Zouma


IZZY BROWN

Youthful quality: Izzy Brown is congratulated after scoring to double Chelsea's lead at Adams Park



JEREMIE BOGA

Impressive: Jeremie Boga had a hand in a couple of goals at Adams Park as Chelsea won 5-0


MARCO VAN GINKEL


Chapisha Maoni