Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



 
Mshambuliaji mpya wa kilabu ya Arsenal Danny Welbeck anaweza kufunga mabao 25 kwa msimu mmoja ,hayo ni matamshi ya aliyekuwa mshambuliaji wa England Allan Shearer.

Wellbeck mwenye umri wa miaka 23 alijiunga na kikosi cha The Gunners kutoka kilabu ya Manchester United kwa kitita cha pauni millioni 16 katika siku ya mwisho ya dirisha la kuwasajili wachezaji wa soka barani ulaya na anaweza kuanzishwa kwa mara ya kwanza dhidi ya watetezi wa ligi hiyo Manchester City siku ya leo jumamosi.
Nimesikia watu wakisema kwamba Wellbeck hawezi kufunga mabao 20 ama 25 kwa msimu mmoja.

''Sasa ana uwezo wa kuonyesha umahiri wake katika ligi hiyo.''.
Siku ya Alhamisi Meneja wa kilabu ya Manchester United Van Gaal alisema kuwa Wellbeck hakuweza kufunga mabao ya kutosha wakati alipkuwa katika kilabu hiyo ya Old Trafford.

Mshambuliaji huyo ambaye ni mzaliwa wa Manchester ambaye aliifunga mabao yote mawili timu ya Uingereza dhidi ya Switzerland siku ya jumatatu ,hajawahi kufunga zaidi ya mabao tisa katika ligi ya Uingereza tangu alipoanza kuchezea mwaka 2008.


Danny Welbeck
Danny Welbeck 20120611.jpg
Welbeck with England at UEFA Euro 2012
Personal information
Full name Daniel Nii Tackie Mensah Welbeck[1]
Date of birth 26 November 1990 (age 23)[1]
Place of birth Longsight, Manchester, England
Height 1.84 m (6 ft 0 in)[2]
Playing position Forward / Winger
Club information
Current team
Arsenal
Number 23
Youth career
2001–2008 Manchester United
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2008–2014 Manchester United 90 (20)
2010 Preston North End (loan) 8 (2)
2010–2011 Sunderland (loan) 26 (6)
2014– Arsenal 0 (0)
National team
2006–2007 England U17 11 (2)
2007–2008 England U18 2 (2)
2008–2009 England U19 8 (2)
2009–2011 England U21 14 (5)
2011– England 28 (10)


Chapisha Maoni