Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Kocha Appiah kuaga Black Stars
Kocha wa timu ya taifa ya Ghana Kwesi Appiah, ameacha kazi kama kocha wa timu ya taifa baada ya kukubaliana na shirikisho  la nchi hiyo.
 
Kocha wa zamani Milovan Rajevac, anaonekana na wengi kama mrithi wa kocha Appiah ambaye ameshikilia wadhifa wake kati ya mwaka 2008-2010.

Rajevac, alikuwa ameorodheshwa kama mshauri wa kikosi cha taifa akishirikiana na Appiah.

Shirikisho la soka la Ghana linasema kuwa litatangaza nafasi ya Appiah kabla ya mwishoni mwa Oktoba ambapo Ghana itacheza mechi ya kufuzu dhidi ya Guinea.

'Makosa ya Appiah'
Kosa la kwanza la Appiah ni kukosa kufikisha timu ya taifa katika robo ya fainali za kombe la dunia la mwaka 2014, nchini Brazil na ilikuwa mara ya kwanza kwa Ghana kukosa kufika katika robo fainali.

Wakati alipokuwa uongozini, Rajevac aliongoza Ghana kufika fainali za kombe la taifa bingwa Afrika mwaka 2010 na robo fainali za kombe la dunia miezi michache baadaye.
Appiah amekuwa akishinikizwa tangu kampeni ya Ghana kwenda katika kombe la dunia kuanza ,ambako hawakufika mbali.

Baada ya timu hiyo kwenda sare na Uganda katika mechi yao ya ufunguzi kutaka kufuzu kwa michunao ya kombe la taifa bingwa Afrika mwaka 2015, wito ulianza kutolewa kuwa Appiah aondoke.

Appiah atakutana na maafisa wa GFA wiki ijayo kujadili swala la malipo yake.

Kwesi Appiah
Kwesi Appiah York City v. Weymouth 2.png
Appiah playing for Weymouth in 2009
Personal information
Full name Kwesi Appiah[1]
Date of birth 12 August 1990 (age 24)
Place of birth Thamesmead, England
Height 5 ft 11 in (1.80 m)
Playing position Striker
Club information
Current team
Cambridge United
(on loan from Crystal Palace)
Number 21
Youth career
?–2008 Ebbsfleet United
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2008 Ebbsfleet United 3 (1)
2008–2010 Peterborough United 0 (0)
2009 Weymouth (loan) 4 (0)
2009 King's Lynn (loan) 12 (15)
2010 Kettering Town (loan) 15 (4)
2010 Brackley Town 5 (2)
2010 Thurrock 1 (0)
2011–2012 Margate 33 (35)
2012– Crystal Palace 10 (0)
2012 Aldershot Town (loan) 2 (0)
2013 Yeovil Town (loan) 5 (0)
2013 Cambridge United (loan) 14 (10)
2014 Notts County (loan) 7 (0)
2014 AFC Wimbledon (loan) 7 (3)
2014– Cambridge United (loan) 3 (2)


Chapisha Maoni