Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



SAFARI YA MBEYA! Azam FC imeondoka leo alfajiri kuelekea Mbeya 'Green City' kwajili ya mchezo wa Jumamosi tarehe 4 Oktoba dhidi ya timu ngumu ya Tanzania Prisons.
\ Kikosi cha wachezaji 20 na viongozi 7 kimesafiri kwa Basi la timu ambalo liliwasili miezi michache ili yo pita na kuwa gumzo nchini. 
Pichani baadhi ya wachezaji na kocha wakiwa Morogoro baada ya kupata chai tayari kwa safari.
Azam FC's photo.


Chapisha Maoni