Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


NYOTA ANAOWAKOSA VAN GAAL MAN UNITED

 

Herrera akiwa ameshika ubavu wake wakati akiondoka uwanjani Old Trafford[taarifa za madaktari zinasema kuwa atakuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa baada ya kuchanika mbavu.

 

Wachezaji tisa wa kikosi cha kwanza cha Man United waio nje kwa majeruhi na wengine kutumikia adhabu ni;
Ander Herrera, Jonny Evans, Phil Jones, Chris Smalling, Michael Carrick, Marouane Fellaini, Ashley Young, Jesse Lingard na Wayne Rooney. 


Chapisha Maoni