Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


TIMU ya taifa ya Tanzania  Taifa Stars ipo tayari kuiangamiza Benin,kocha wa timu hiyo Mart Nooij amethibitisha hilo.
 

licha ya Kikosi hicho kitamkosa Mbwana Samatta ambaye aliumia katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika akiitumikia TP Mazembe ya DR Congo ambayo ilitolewa kwenye hatua ya nusu fainali.
 
Nyota wa nje watakaokuwa kwenye kikosi hicho ni pamoja na Thomas Ulimwengu (TP-DR Congo), Mwinyi Kazimoto (Al Markhiya-Qatar) na Juma Luizio (Zesco-Zambia).
 
 
"Tumejiandaa vizuri, tunataka kucheza mpira mzuri na kushinda, hayo ndiyo malengo.
"Lakini Benin si timu laini, hivyo tayari wachezaji wanajua wanacheza na timu ngumu lakini inafungika," alisema Nooij raia wa Uholanzi.
 
 


Chapisha Maoni