Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Sitti Mtemvu ambaye ni binti wa Mbunge wa Temeke,Mhe.Abbas Mtemvu alikabidhiwa zawadi ya fedha taslimu Milioni 18,na kunyakua taji la 20 la miss Tanzania 


Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu.
Picha zote na Othman Michuzi.


Chapisha Maoni