Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Simba SC imepata  ushindi  wa kwanza katika michezo ya ligi kuu baada ya kucheza michezo 6 bila kupata ushindi wowote  ligi kuu ya vodacom.

Jitihada za Simba SC zilizaa matunda katika dakika ya 78 baada ya Emmanuel Okwi kuwaada mabeki wa Ruvu shooting na kumpasia Maguli ambaye shuti lake lilitemwa na kipa na mpira kumkuta Emanuel Okwi na bila ajizi Okwi akaiandikia Simba SC goli la kuongoza.

JKT inayonolewa na Fred Felix Minziro imeshinda mabao hayo katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar.
Mabao ya JKT katika mechi hiyo yalifungwa na Najim Magulu kabla ya Samwel Kamutu kufunga bao la pili baada ya Magulu kupiga shuti kali na kipa kuutemba.



Chapisha Maoni