Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


rsenal yachapwa na Swansea 2 -1

  •  
Wachezaji wa Arsenal na huzuni baada ya kufungwa na Sweansea
Arsenal walikuwa ugenini wakimenyana na Swansea ambapo leo Arsenal wamepata kichapo baada ya kukubali kufungwa magoli 2 -1
Arsenal ndio waliokuwa wa kwanza kufunga goli lilofungwa na Alexi Sanchez
Hata hivyo goli hilo halikudumu kwani Swansea nao walipata goli la kusawazisha na baadae wakapata goli la ushindi.
Matokeo mengine Sunderland na Everton zimetoka sare ya 1 - 1.
Sunderland ndio waliokuwa wa kwanza kufunga goli lililofungwa Sebastian Larsson.
Hata hivyo goli hilo halikudumu kwani kwani Everton walipata penalti iliyofungwa na Leighton Baines.
Mechi nyingine ya mapema ilikuwa ni kati ya Tottenham waliadhibiwa wakiwa nyumbani na Stoke City kwa kufungwa magoli 2 - 1
Baada ya mechi hiyo Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino alionyesha kusikitishwa na matokeo hayo.
Ni kocha mkuu wa Tottenham Mauricio Pochettino.


England - Premier League
FT Sunderland 1 - 1 Everton
FT Tottenham Hotspur 1 - 2 Stoke City
FT West Bromwich Albion 0 - 2 Newcastle United
FT Swansea City 2 - 1 Arsenal


Chapisha Maoni