MWIGIZAJI wa filamu hapa nchini Ray kigosi ametakiwa kutoa shiringi milioni moja na kuvaa jenzi ya simba baada ya kukubariana na mwenzake JB kuwa atakae fungwa katika pambano la watani wa jadi simba na yanga atavaa jenzi ya mwezake namaanisha ya timu yake anyoshabikia na kutoa kitita cha shiringi milioni moja.
"Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH." nimenukuu toka http://www.bongomovies.com
Chapisha Maoni