Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




If United beat Liverpool on Sunday it will be their sixth consecutive win in the Premier League this season
 Leo ni leo hasemaye kesho ni mwongo ambapo timu ya Manchester united inavaana na Liverpool katika mchezo ambao unatarajiwa kuvuta hisia za watu wengi duniania kutokana na upinzani wa miaka mingi baina ya timu zote mbili.

 RECODI
MECHI 5 WALIZOKUTANA WAO WENYEWE ZA HIVI KARIBUNI

MAN UNITED
USHINDI-3
SARE-0
KUFUNGWA-2
LIVERPOOL
USHINDI-2
SARE-0
KUFUNGWA-3

MECHI 5 AMBAZO KILA TIMU IMECHEZA HIVI KARIBUNI NA TIU TOFAUTI.
MAN UNITED
USHINDI-5
SARE-0
KUFUNGWA-0


LIVERPOOL
USHINDI-2
SARE-0
KUFUNGWA-3
 

Liverpool captain Steven Gerrard scored two penalties in their 3-0 win at Manchester United last season
16:30
Manchester United
Liverpool
19:00
Swansea City
Tottenham Hotspur




English Barclays Premier League

PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Chelsea16123136132339
2Manchester City16113233141936
3Manchester United158432617928
4West Ham United168442719828
5Southampton1682625131226
6Arsenal167542819926
7Newcastle United166551822-423
8Swansea City156452017322
9Liverpool156361919021
10Tottenham Hotspur156361821-321
11Stoke City165471821-319
12Aston Villa165471020-1019
13Everton154652423118
14West Bromwich Albion164571520-517
15Sunderland1621041424-1016
16Crystal Palace163671924-515
17Burnley163671124-1315
18Queens Park Rangers154291627-1114
19Hull City162771523-813
20Leicester City1624101527-1210


Chapisha Maoni