wekundu wa msimbazi simba leo hii wamenguruma
katika uwanja wa taifa baada ya kuitandika yanga bao 2-0 katika mchezo wa bonanza
wa nani Mtani Jembe mechi iliyochezwa jjini Dar es salam
bao la kwanza la Simba limepatikana dakika ya 30
kupitia kwa kijana machachari Awadhi Juma,bao ambalo lilipelekea baadhi
mashabiki wa yanga kuanza kuzimia uwanjani.
Dk 41 Maguri akaongeza bo la pili kwa
Simba baada ya kuunganisha mpira wa
kurusha wa chollo ambao uligonga mwamba, mabeki wa Yanga wakazubaa, akarudi na
kufunga tena.
VIKOSI VYA LEO YANGA VS SIMBA
YANGA:
Deo Dida
Abdul Juma
Oscar Joshua
Nadir Haroub
Kelvin Yondani
Mbuyu Twite
Haruna Niyonzima
Emerson Roque
Simon Msuva
Kpah Sherman
Coutinho
SIMBA:
Ivo Mapunda
Nassor Chollo
Mohammed Hussein
Hassan Isihaka
Juuko Murishid
Jonas Mkude
Rama Singano
Awadh Juma
Elius Maguri
Simon Sserunkuma
Emmanuel Okwi
Chapisha Maoni