Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





TIMU ya simba imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya mtibwa Sugar ligi kuu ya vodacom  katika mchezo ambao ulikuwa mgumu kwa timu zote.

bao pekee la Simba limefungwa na Emanuel Okwi Dakika  ya 90 nje ya 18


Mechi za leo 2015-03-14
FT
SIMBA SC
1
 : 
0
MTIBWA SUGAR

RUVU SHOOTING
0
 : 
0
COASTAL UNION

POLISI MORO
0
 : 
0
JKT RUVU

T.PRISONS
3
 : 
0
STAND UNITED

 



Chapisha Maoni