Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 IMG_20150313_160039
Tanzania imechapwa na Misri bao 6-2 katika mechi ya kwanza kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika iliyopigwa kwenye ufukwe wa Escape One jijini Dar.
Tanzania ndiyo ilianza kufunga mabao mawili huku ikionekana kama watoto hao wa Falao wamepotea.
Lakini walianza kurejesha bao moja baada ya jingine hadi yalipofikia sita.
Tanzania imekutana na Misri baada ya kuitoa Kenya kwa kuichapa nyumbani Dar na ugenini Mombasa.


Chapisha Maoni