Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 NOIIJ-STARZ
TANZANIA Imefungwa mechi zote Cosafa baada ya hapo jana kulala 1-0 mbele ya Lesotho katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini.

Michezo ya awali, Tanzania ilifungwa 1-0 na Swaziland na baadaye 2-0 na Madagascar na sasa inarejea nyumbani, ikiicha michuano hiyo ikiingia hatua ya Robo Fainali.


 M4: Tanzania 0 Swaziland 1M7: Madagascar 2 Tanzania 0M11: Lesotho 1 Tanzania 0


Chapisha Maoni