Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Zaidi watunisha misuli 33 kutoka mikoa ya dsm, Mbeya, Zanziba, moshi pamoja na kilimajaro wanatarajia kushiriki kwenye m,ichuano ijulikanayo kama the Most Musicular Man in tanzania itakayofranyika agost 29 jijini dar es salaam
 Akizungumza na waandishi wa habari muandaji wa shidano hilo kutoka kampuni ya tanzanite limited amesma kuwa lengo la michuano hiyo ni kuwaawezesha vijana kujitengezea ajira na kujiingizia kipato klupitia mchezo huo,

Kwa upende wake mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Torqoe Mohamed Dewji amesema kuwa amewataka watanzania hususani ni vijana  kujenga tabia ya kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuepekana na magonjwa mbalimbali yanayopelekea kudhofika mwili.

Mashindano hayo yatakayo fanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa mwalimu juliusus yataamuliwa na majaiji kutoka nchi za kenya uganda , tanzania pamouja na zanziba huku bingwa akiondoka na kikombe pamoja na kitita cha sh milioni 1.5


Chapisha Maoni