Mtendaji mkuu bodi ya ligi Bornface Wambura amesmea kuwa mpaka
sasa viwanja saba vimeshaklamilika tayari kwa ligi kuu ya msimu huu
vikiwemo viwanja vya kamabarage ,manungu , Sokoine, Nyrere, Mabatini ,
pamoja na uwanja wa mwadui mkoani mwanza.
Aidha wambura amesema kuwa bodi hiyo imeongeza muda wa timu zinazoshiriki kwenye ligi hiyo ya vodacom kukagua na kuiviandaa viwanja vyao kabla ya kufikia agost 30 mwaka huu ambapo awali ikuwa agost 15
katika hatua nyngine wambura amesma kuwa bodi hiyo haijapokea malamiko yoyote kutoka kwa mabingwa soka tanzania bara timu ya yanga bali wamepokea maombi ya kubadilidshiwa ratiba kutoka kwa timu ya Lipuli pamoja na TZ prisons
ligi kuu ya soka Tanzania bara inaanza kurindima september 12 mwaka huu ikishirikisha timu 16 kutoka upande wa tanzania bara, huku ligi kuu ya daraja la kwanza ikianza septmber 19 wakati daraja la pili ikianza oktoba 31.

Chapisha Maoni