Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


LIGI KUU
ENGLAND
RATIBA:
Saa za Bongo
Jumapili Oktoba 4
1530 Everton v Liverpool
1800 Arsenal v Man United
1800 Swansea v Tottenham

Uwanja: Emirates Stadium
Arsenal itamkosa mlinzi wake mfaransa,
Laurent Koscienly mwenye matatizo ya
hamstring, huku pia Mikel Arteta na Mathew
Flamini wakiwa majeruhi. Oliver Giroud yuko fiti
kuikabili Manchester United leo jioni.
Kwa upande wa Manchester United, Michael
Carrick yuko sawa baada ya kupumzishwa
jumatano usiku katika mchezo wa klabu bingwa
kwa kile kilichoonekana majeruhi hafifu. Ander
Herrera bado hana uhakika wa kucheza
kutokana na hali yake kutotengamaa.
WACHEZAJI WA KUWAANGALIWA
WAYNE ROONEY: Pamoja na kutokua na fomu
nzuri tangu kuanza kwa msimu, lakini Rooney
ana rekodi nzuri zaidi anapocheza na Arsenal.
Anaweza kuibua fomu yake upya kupitia mechi
hii.
ALEXIS SANCHEZ: Alexis Sanchez ndiye
mchezaji bora zaidi katika kikosi cha Arsenal
hivi sasa. Kama akiwa kwenye fomu basi
anaweza kuamua mchezo huu leo jioni.
HEAD TO HEAD:
Match facts: 2
Ushindi walioupata Manchester United wa 2-1
mwaka jana nyumbani kwa Arsenal ulikua ni
ushindi wa kwanza kwa kocha Louis Van Gaal
ugenini
Manchester United haijafungwa katika michezo
minne ya mwisho iliyoenda Emirates stadium
(W2, D2)
Arsenal ina rekodi mbaya ya ushindi dhidi ya
Manchester United imeshinda kwa 24% pekee.



Chapisha Maoni