Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



TIMU ya Taifa ya Tanzania
Taifa Stars imeibamiza Malawi
mabao 2-0 yaliyofungwa
na Mbwana Samatta na Thomas
Ulimwengu.
Samatta ndiye alianza
kufunga kwa pasi nzuri ya
Ulimwengu ambaye alifunga
bao la pili baada ya kipa
wa Malawi kutema mkwaju wa
krosi wa Haji Mwinyi na
Ulimwengu akafanya
kuusukumizia mpira wavuni.

Huu ni mchezo wa kufuzu fainali za kombe la duniani 2018 nchini Urusi.

RECOD YA STARS MECHI 12 SASA.
: Swaziland 1-1 Tanzania
15: Tanzania 1-1 Malawi
: Tanzania 0-1 Swaziland
: Madagascar 2-0 Tanzania
esotho 1-0 Tanzania
Rwanda 2-0 Tanzania
: Misri 3-0 Tanzania
: Tanzania 0-3 Uganda
: Uganda 1-1 Tanzania
15: Tanzania 1-2 Libya
5, 2015: Tanzania 0-0 Nigeria
Tanzania 2-0 Malawi



Chapisha Maoni