Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Timu ya taifa ya soka ya
wanawake 'Twiga Stars',
inatarajiwa kucheza mchezo
wa kirafiki na timu ya
taifa ya wanawake ya Malawi
Novemba 7, 2015 jijini Dar
es salaam.
Mchezo huo wa kirafiki ni
sehmu ya kujipima kwa Twiga
Stars inayonolewa na kocha
Rogasian Kaijage.


Awali, Twiga Stars ilikua
icheze mchezo huo nchini
Malawi Oktoba 24, kabla ya
chama cha soka nchini humo
(FAM) kuahirisha mchezo
huo, na sasa mchezo huo
utacheza nchini Tanzania
Novemba 07, 2015.



Chapisha Maoni